Ezekiel 37:19

19 aWaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaichukua fimbo ya Yusufu, iliyoko mikononi mwa Efraimu na ya makabila ya Israeli yanayofungamana naye na kuiunganisha na fimbo ya Yuda, nikizifanya kuwa fimbo moja, nao watakuwa wamoja katika mkono wangu.’
Copyright information for SwhKC